Shangwe
zimelipuka jijini Harare nchini Zimbabwe baada ya Rais wa nchi hiyo,
Robert Mugabe kuakubali kujiuzulu jana Jumanne jioni.
Shangwe
hizo zililipuka baada ya nchi hiyo kuwa katika presha kwa siku kadhaa
baada ya wanajeshi kumweka kizuizini Rais Mugabe huku wakifanya
utaratibu wa kumtaka aondoke madarakani.
Comments