Dkt. Shein: Adhabu kali kwa wanaotenda udhalilishaji Zanzibar.

Kufuatia kuongezeka kwa vitendo tofauti vya udhalilishaji wakijinsia kwa wanawake na watoto Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Muhammed Shein achukizwa zaidi na vitendo hivyo hatimae kuagiza kutolewa adhabu kali kwa watendaji wa vitendo hivyo.
Amesema kuwa Serikali itatumia nguvu kubwa pamoja na vitendo ili jambo hili liweze kuondoka kwani Serikali kwaujumla  inauwezo mkubwa wa kuondoa tatizo hilo.

chanzo:zanzibar24.

Comments