Apata upofu wa macho baada ya kushambuliwa Kibiti.

Aliyekuwa Mwenyekiti wa mtaa wa Mangwa huko Nchukwi Kibiti Amejitokeza mbele ya vyombo vya habari na kueleza namna ambavyo alinusurika kuuawa baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana ndani ya nyumba yake majira ya usiku.
Mwenyekiti huyo anayejulikana kwa jina la Martin Nicolous, amedai kuwa watu hao walimsababishia upofu kwa kumtoboa jicho moja na kutokana na kipigo walichompiga hata jicho la pili halina tena uwezo wa kuona.

chanzo:zanzibar24.

Comments