
Wakati mama huyo alipofuatwa ili kueleza mkasa huo sababu gani iliyo
mfanya ata akapata majeraha hayo lakini hakuweza kuzungumza kutokana na
majeraha aliyoyapata.
Hata hivyo waandishi wa habari wamefanikiwa kupata maelezo kutoka kwa
mtoto wa mama huyo ambae amesema kuwa babaake alimpiga mamaake kwa kosa
la kumfikiria kuwa amekwenda kwa mwanamme na sio mara ya kwanza
kumfanya kitendo kama hicho.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda msaidizi mwandamizi wa
jeshi la Polisi Hassan Nassir Ali ametoa wito kwa wanandoa kuwa si tabia
nzuri kufanya tabia kama hiyo. na kwawale ambao wanajitoa mishipa
yafahamu kwa kutenda makosa kama hayo hatua kali zakisheria zitawafikia
juu yao.
Hadi sasa mtuhumiwa huyo ameshatiwa mikononi mwa Polisi.
chanzo:zanzibar24.
Comments