
- Dkt. Idris Muslim Hija ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais
- Bwana Joseph Abdulla Meza ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi
- Bwana Juma Ali Juma ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko
- Bwana Bakari Haji Bakari ameteuliwa kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Biashara la Zanzibar
- Bwana Ali Khamis Juma ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko
- Bwana Iddi Haji Makame ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Fedha na Mipango
- Kapteni Khatib Khamis Mwadini ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Magharibi A, Unguja
- Bwana Abeid Juma Ali ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete – Pemba
- Bwana Rashid Hadid Rashid ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chakechake, Pemba.
- Bibi Salama Mbarouk Khatib ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Micheweni, Pemba.
Uteuzi huo umeanza leo Septemba 22, 2017 na wataapishwa siku ya Jumaapili Septemba 24, Saa 2:30 Asubuhi.
chanzo: zanzibar24.
Comments