
Vikwazo hivyo vinalenga kuhujumu uwezo wa Pyongyang kufadhili na kutoa kawi kwa mpango wake wa nuklya.
Vikwazo
hivyo vilevile vinatoa masharti kwa biashara ya kununua mafuta ya Korea
Kaskazini mbali na kupiga marufuku uuzaji wa nguo katika mataifa ya
kigeni.
Maamuzi hayo ya baraza la usalama la umoja wa mataifa
yaliungwa mkono kwa wingi wa kura baada ya Marekani kuondoa mpango wake
wa kutaka uungwaji mkono kutoka Urusi na China
Korea Kusini inasema kuwa kwa kuhujumu amani Korea Ksakzini itaewekewa vikwazo zaidi vya kimataifa.
Balozo
wa China katika Umoja wa kimataifa Liu Jieyi ameitaka Korea kaskazini
kuchukua kwa muhimu mkubwa matarajio ya ya jamii ya kimataifa na
kuharibu mpango wa
chanzo:Bbc.
Comments