Walioshindwa kufahamumthamani ya uganajike kwa kujiuza miili yao
kwa bei ya seli nyakati za usiku, huko Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja.
Kina dada hao kutoka mitaa mbali mbali ya mjini ikiwemo kwahani na
miembeni kitendo hicho kisichokuwa cha uungwana chawafanya jeshi la
polisi Mkoa wa kusini unguja kuacha vitanda vyao kwa muda kuwavamia
kizimkazi mithili ya sega la nyuki na kuwa kamata wakina dada ishirini
pamoja na wateja wao wanaotuhumiwa kufanya vitendo hivyo.
Kamanda wa polisi mkoa wa kusini Unguja Kamishna msaidizi wa Polisi
Juma Sadi Khamisi amesema kinadada hao wamekamatwa majira ya saambili
usiku wakiwa wapo kwenye mauzo na wateja wao.
Amesema “Kuna biashara halali za kujipatia riski
kwahivyo si vyema mtu akatumia mwili wake akafanya biashara hizo ambazo
ni hatari kwa afya yao na hatari kwa afya za wengine”
Hata hivyo Kamanda Sadi amesema kitendo hicho hakitavumilika Jeshi litapambana vikali ili kieleweke.
chanzo:zanzibar24.
Comments