Baraza la madaktari lateuliwa.

Waziri wa afya mahamoud thabiti kombo amelitaka baraza la madaktari kuzipitia sheria zao ili kubaini mapungufu yaliyomo na kuyafanyia kazi ili kutekeleza majukumu yao bila ya vikwazo.

Mh. Mahmoud akizinduzi bodi mpya ya baraza hilo  amesema mchango wao ni mkubwa katika kuhakikisha huduma zinatolewa ipasavyo huku serikali ikiunga mkono juhudi zao.


Mkurugenzi mkuu wizara ya afya jamala adamu amesema dhamira ya baraza la madaktari ni kuongeza nguvu kazi kwa madaktari wenye taaluma ili kukidhi mahitaji.

Naye mrajisi dr semeni shaabani mohamedi amesema kwa kipindi chote baraza la madaktari limeweza kufanya kazi zake kwa ufanisi kuhakikisha maadili ya taaluma ya udaktari hayavunjwi pamoja na kuchukua hatua za kisheria kwa madaktari wanaokwenda.
chanzo:Zbc.

Comments