SKULI ZA DAHALIA ZAFUNZWA KUJILINDA NA MAAFA.

Kamisheni ya kukabiliana maafa imeandaa mafunzo kwa wanafunzi wa skuli za sekondari za dakhalia ili kujilinda na maafa mbalimbali ikiwemo ya moto na maradhi ya mripuko.

Akielezea lengo la mafunzo hayo huko skuli ya chasasa sekondari mratibu wa kamisheni ya kukabiliana maafa pemba khamis arazak khamis amesema ni kuwajengea uwezo wanafunzi wa dakhalia kuweza kujiokoa pale maafa yanapotokea.

Katika mafunzo hayo afisa elimu sekondari himid omar ali amewataka wanafunzi hao kufanya kazi ya kuichukua taaluma hiyo na kuipeleka kwa wengine ili kuepusha athari za upotevu wa maisha na mali zao.

Nao baadhi ya wanafunzi hao wamesema elimu hiyo itawasaidia kujikinga na kuwaokoa wengine katika maafa mbali mbali.

Akielezea lengo la mafunzo hayo huko skuli ya chasasa sekondari mratibu wa kamisheni ya kukabiliana maafa pemba khamis arazak khamis amesema ni kuwajengea uwezo wanafunzi wa dakhalia kuweza kujiokoa pale maafa yanapotokea

Katika mafunzo hayo afisa elimu sekondari himid omar ali amewataka wanafunzi hao kufanya kazi ya kuichukua taaluma hiyo na kuipeleka kwa wengine ili kuepusha athari za upotevu wa maisha na mali zao.

Nao baadhi ya wanafunzi hao wamesema elimu hiyo itawasaidia kujikinga na kuwaokoa wengine katika maafa mbali mbali.

Kamisheni ya kukabiliana maafa imeandaa mafunzo kwa wanafunzi wa skuli za sekondari za dakhalia ili kujilinda na maafa mbalimbali ikiwemo ya moto na maradhi ya mripuko.

Akielezea lengo la mafunzo hayo huko skuli ya chasasa sekondari mratibu wa kamisheni ya kukabiliana maafa pemba khamis arazak khamis amesema ni kuwajengea uwezo wanafunzi wa dakhalia kuweza kujiokoa pale maafa yanapotokea.

Katika mafunzo hayo afisa elimu sekondari himid omar ali amewataka wanafunzi hao kufanya kazi ya kuichukua taaluma hiyo na kuipeleka kwa wengine ili kuepusha athari za upotevu wa maisha na mali zao.

Nao baadhi ya wanafunzi hao wamesema elimu hiyo itawasaidia kujikinga na kuwaokoa wengine katika maafa mbali mbali.

Kamisheni ya kukabiliana maafa imeandaa mafunzo kwa wanafunzi wa skuli za sekondari za dakhalia ili kujilinda na maafa mbalimbali ikiwemo ya moto na maradhi ya mripuko.

Akielezea lengo la mafunzo hayo huko skuli ya chasasa sekondari mratibu wa kamisheni ya kukabiliana maafa pemba khamis arazak khamis amesema ni kuwajengea uwezo wanafunzi wa dakhalia kuweza kujiokoa pale maafa yanapotokea.

Katika mafunzo hayo afisa elimu sekondari himid omar ali amewataka wanafunzi hao kufanya kazi ya kuichukua taaluma hiyo na kuipeleka kwa wengine ili kuepusha athari za upotevu wa maisha na mali zao.

Nao baadhi ya wanafunzi hao wamesema elimu hiyo itawasaidia kujikinga na kuwaokoa wengine katika maafa mbali mbali.
chanzo:Zbc.

Comments