akizungumza na waandishi wa habari meneja kitengo shirikishi cha
afya ya uzazi wa mama na mtoto Dk. Mtumwa Ibrahim amesema wanapambana na
tatizo hilo kwa njia mbali mbali ikiwa ni pamoja na kutoa elimu katika
jamii.
Afisa uhamasishaji wa afya ya uzazi na matumizi ya njia za uzazi wa
mpango tatu ahmada ali na kassim kirobo wamesema kuna baadhi ya kinamama
hutumia njia za uzazi wa mpango bila ya kupata ushauri kutoka kwa
wataalamu.
nao waandishi wa habari wamekishauri kitengo hicho kubadilisha mfumo
wa utoaji wa elimu ili kupatikana kwa mafanikio na wanaume kushirikishwa
kikamilifu katika mpango huo.
chanzo:Zbc.
Comments