
Imebainika kuwa mshambuliaji wa kujitoa mhanga alijilipua katika eneo
lenye washia wengi magharibi mwa mji, Lengo la shambulizi hilo
halikutajwa mara moja na hakuna mtu aliyedai kuhusika.
Shambulizi hilo llitokea karibu na nyumba ya afisa wa cheo cha juu serikalini, Mohammad Mohaqiq.
Mashambulizi ya awali yamedaiwa kutekelezwa na Taliban au kundi la
Islamic State, Kabul umekumbwa na misururu ya mashambulizi likiwemo
lililowaua watu 90 wakati lori lililipuka mwezi Mei.
chanzo: zanzibar24.
Comments