Orodha ya viongozi na wananchi waliotunukiwa nishani za mapinduzi, utumishi uliotukuka na ushujaa.

Nishani ya Mapinduzi

  1. Marehemu Dk Omar Ali Juma
  2. Marehemu Ali Muhsin Ali
  3. Pandu Ameri Kificho
  4. Aboud Talib Aboud
  5. Dk  Msimu Abdulrahman Hassan
  6. Mastura Ali Salim
  7. Zainab Omar Mohamed
  8. Thereza Olban Ali
  9. Marehemu Makame Mzee Suleiman
  10. Marehemu Isaac Abraham Sepetu
  11. Marehemu Asha Bakari Makame
  12. Marehem Hamid Vuai Mkungu

Nishani ya Utumishi Uliotukuka

  1. Jaji Hamid Mahmoud Hamid
  2. Mohammed Fakih Mohamed
  3. Mohamed Ahmed Mohamed
  4. Ali Rajab Juma
  5. Mwanaidi Saleh Abdallah
  6. Masoud Mohamed Ali Shambi
  7. Mwapili Mohmoud Mzee
  8. Josefrida Gloria Parwira
  9. Marehemu Mohamed Jongo.
 chanzo:zanzibar24.

Comments