Gari ya abiri aina ya DYNA yenye namba za usajili Z 330 GX lapinduka
huko maeneo ya wete pemba, kwa habari zisizo rasmi mtu mmoja afariki
papo hapo.
tutaendelea kukupa taarifa hizi kadri tutakvyo zipokea kutoka eneo la tukio…………………
chanzo:zanzibar24.
Comments