
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na
Katibu Mkuu kiongozi Zanzibar Dkt Abdulhamid Yahya Mzee kwa vyombo vya
habari Mh. Dkt Ali Mohamed Shein amemteua Bwana Ahmada Yahya Abdulwakil
kupitia uwezo wake wa Kikatiba.
Uteuzi huo ameufanya kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu cha 66 cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984.
Uteuzi huo umeanza jana Mei 15, 2017.
Imetolewa na Idara Habari Maelezo – Zanzibar
chanzo: zanzibar24.
Comments