
Takriban watu 250 wamefariki dunia kwa ugonjwa huo mwezi uliopita na
mamia ya watu wanaripotiwa kuambukizwa kila siku na kwamba mlipuko huo
karibuni utakuwa janga kubwa.
Ugonjwa huo ambao unasambaa kupitia uchafu katika chakula na maji,
unaweza kudhibitiwa kirahisi, lakini mfumo wa afya nchini Yemen
umevurugika kutokana na mapigano yanayoendelea kati ya waasi wa Ki
Houthi na majeshi ya serikali, ambayo yanaungwa mkono na muungano wa
majeshi yanayoongozwa na Saud Arabia.
chanzo: zanzibar24.
Comments