
Chanjo hiyo ya RTS,S inaipa mafunzo kinga ya mwili ili iweze kusbulia viini vya Malaria ambavyo husambazwa na mbu.
Shirika la afya duniani WHO linasema kuwa chanjo hiyo ina uwezo wa kukoa maisha ya maelfu ya watu.
Lakini bado haijabainika ikiwa inaweza kutumika kati nchi maskini zaidi duniani.
Mtu
anastahili kupewa chanjo hiyo mara nne , mara moja kwa mwezi kwa muda
wa miezi mitatu kabla ya kupata chanjo ya nne miezi 18 baadaye.
Mafanikio haya yamepatikana kufuatia majaribio
yaliyopata ufadhili mkubwa lakini haujulikani ikwa majaribio hayo
yaanaweza kufanyika katika nchi ambapo huduma za afya ni duni.
Hii ndiyo sababu WHO inaendesha majaribio hayo kati nchi tatu kubaini ikiwa mpango mzima wa utoaji chanjo hiyo unaweza kuanza

chanzo:bbc.
Comments