Mama Salma Kikwete aapishwa rasmi kuwa Mbunge.

Mbunge wa kuteuliwa ambae ni mke wa Rais Mstaafu, Mama Salma Kikwete aapishwa leo Bungeni Dodoma.

Rais Mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete alihudhuria Bunge na kushangiliwa vilivyo na wabunge huku wakisema “tumekumiss, tumekumiss”.

Baada ya kuapishwa, Mama Salma alionesha makali yake kwa kuuliza swali la nyongeza kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora, Angella Kairuki.


Kupiti Twita raisi msataafu Jakaya Kikwete aliandika kuwa ameshudia kuapo cha mke wake na kumhakikishia  kuwa sasa ni zamu yake kumuunga mkono.
chanzo: zanzibar24.

Comments