
Afisa wa zamani wa masuala ya ujasusi anasemna baadhi ya bunduki na
makombora yaliyotumiwa kwenye maonyesho hayo yalikuw bandia.
Michael
Pregent alikiambia kituo cha runinga cha Fox kuwa baadhi ya bunduki
zilizokuwa kwenye maonyesho hayo zilikuwa ni za kujekesha.
Lakini maonyesho kama hayo kuonyesha ubabe wa kijeshi yametumiwa kwa miongo kadha.
Kwa sasa msukosuko ni mkubwa kati ya Marekani na Korea Kaskazini.
"Sio kuwa Korea kaskazini inafikiri kuwa itashinda Marekani lakini kile itafanya ikiwa itashambuliwa," bwa Pregent alisema.
Silaha hizi bandia zilitengenezwa kukwepa mashambulizi ya angani na
kuwachanganya marubani ya jeshi kushambulia vifaru bandia baada ya
vifaru halali

Ujanja kama huo pia ulitumiwa wakati wa vita vya pili vya Dunia.
Aina hii ya silaha bandia zilitumika karne za 18 na 19.
chanzo:Bbc.
Comments