“CUF wajue kwa mara nyingine wapo kuwa kwenye uangalizi tunawatazama, uamuzi unaweza kuwa wakati wowote kwa sababu tunatakiwa kuhakikisha watu wetu wapo salama,” amesema
Meena alilaani pia tabia ya baadhi ya viongozi wa CUF kuwapangia waandishi habari za kuandika.
“Ni wajibu wetu kusikiliza kila upande, habari ya kupangiwa cha kufanya au upande wa kuripoti sio la kwetu, kuna wanaodhani wanajua habari kuliko sisi tuliosomea.” amesema.
chanzo:Mwananchi.
Comments