
Mwanafunzi huyo alimuomba RC Makonda kulitolea ufafanuzi tuhuma za
vyeti inayomkaili kama suala hilo lipo ndani ya uwezo wake kwani ni kiu
ya watu wengi kutaka kuufahamu ukweli wote sababu pamekuwepo mengi
yaliyosemwa.
RC Makonda alipoanza kujibu swali hilo alisema kuwa suala hilo
halihitaji hata mtu awe amekwenda shule badala yake ukitumia tu akili ya
kuzaliwa utaweza kupata jibu.
Amesema kuwa yeye tangu ameanza kupigania
haki za wanyonge kila siku zimekuwa zikiibuliwa kashfa mpya kuhusu
yeye.
chanzo: zanzibar24.
Comments