
Hii italifanya jeshi la Marekani kutumia nguvu zaidi sambamba na
vifaa vya kisasa kupambana na wana mgambo hao, huku pia wakitoa usaidizi
wa karibu kwa jeshi la Somalia.
Inatarajiwa idadi kubwa ya wanajeshi wa Marekani wataelekea nchini Somalia kwa ajili ya operesheni hii.
Al Shabab wameendelea kufanya mashambulizi yanayosababisha vifo kila kukicha nchini Somalia na hata katika nchi jirani ya Kenya.
chanzo:Bbc.
Comments