
Imeadaiwa Mahakamni hapo na muendesha mashtaka wa Serikali Saidi Ali
na Huda Othaman mbele ya hakimu Chausiku Kafuti Mkuya kwamba siku ya
tarehe 17
disemba 2015 majira ya saa 3 asubuhi huko gulioni mshtakiwa
ambe ni mwalimu wa Almadrasat Nnabiy iliyoko Gulioni alimshika na
kunyonya matiti mwanafunzi wake wa kike mwenye umri wa miaka 13 jambo
ambalo ni kosa kisheria
Awali aliposomewa kosa lake mshtakiwa alikataa nakupandishwa kizimbani kwa nyakati tofauti na Jana kusomewa hukumu yake.
Mshtakiwa amepelekwa chuo cha mafunzo miaka 4 ili akajifunze tabia njema na iwe funzo kwake na wengine wenye tabia kama hiyo.
chanzo: zanzibar24.
Comments