Dr. Mwakyembe: suala la RC Makonda kuvamia kituo cha Clouds media hatulipi kipaumbele wizarani.

Waziri wa Habari, utamaduni, sanaa na michezo, Dr. Harisson Mwakyembe amesema hawezi kuwasilisha taarifa ya upande mmoja na isiyokamilika kuhusiana na sakata la Mkuu wa mkoa Paul Makonda kuvamia kituo cha Clouds na kusema kuwa  kwake jambo hilo sio kipaumbele katika  wizara.

Amesisitiza kuwa yeye kama mwanasheria
ataheshimu kanuni za asili(Principles of natural justice) kwa kusikiliza upande wa pili wa tuhuma hizo kisha kuzitolea maamuzi sahihi.
 chanzo:zanzibar24.

Comments