Maafisa
hao wanaokabiliana na ulanguzi wa mihadarati wanasema kuwa Ayub Mfaume
ambaye anajulikana kama kiboko alikuwa mmoja wa watu wanaotafutwa sana
nchini humo.
Anadaiwa kuwa na ushiirikiano na walanguzi wa mihadarati nchini Brazil, Pakistan, na mataifa kadhaa ya Ulaya.
Maafisa
hao wanasema kuwa Bwana Mfaume alijisalimisha kwa maafisa hao kufuatia
msako wa wiki mbili dhidi ya walanguzi wa mihadarat.
CHANZO:BBC.
Comments