Msemaji wa serikali amesema kuwa ilikuwa ni wajibu wa wanaolituhumu jeshi kuweza kutoa uthibitisho wa tuhuma hizo.
Video
hiyo iliyozagaa mwishoni mwa wiki inaonekana kuwa ilichukuliwa katika
mji wa Kasai jimbo la kati nchini humo,ikionyesha wanajeshi
wakikabiliana na wapiganaji.
Marekani imelaumu kuhusiana na video hiyo na kusema ni ukiukaji wa haki za binadamu.
Mkuu
wa idara ya haki za binadamu ya umoja wa mataifa Zeid Ra'ad al Hussein
anasema serikali inapaswa kuangalia kile ambacho tuhuma dhidi ya
ukiukaji wa haki za binadamu.
chanzo:Bbc.
Comments