Jumba moja maeneo ya Hurumzi laanguka.

Jengo moja la mji mkongwe maeneo ya Hurumzi limeanguka mchana huu huku mafundi wakiendelea na ukarabati wa jumba hlo.
Taarifa za zilizopatikana ambazo hazina uhakika zinasema mafundi watu miongoni mwa mafundi waliokuwa wakikarabati wamefukiwa na kifusi na hadi sasa hawajapatikana.
Tutaendelea kukutaarifa tukio hilo linavyoendelea……..
chanzo;zanzibar24.

Comments