Akizungumza na wandishi wa habari mkurungezi wa tume ya uchaguzi Zanzibar Salum kassim Ali amesema kuwa uchaguzi huo mdogo utafanyika kufuatia kufariki kwa aliyekuwa diwani wa Ndagoni Juma Ali Kombo .
Amesema kuwa uchaguzi huo unatarajia kufanyika tarehe 18 february 2017.
Pia amewataka wananchi wa ndagoni kujitokeza kupiga kura itakapofika Tarehe 18 february 2017 kwa ajili ya kumchaguwa diwani wa wadi hiyo.
chanzo;ZANZIBAR 24
Comments