Akizungumza na Mwanahabari wetu juu ya tukio hilo kamanda wa polisi
wa mkoa huo Hasina Ramadhan Taufik, amemtaja mtuhumiwa huyo kuwa ni
Khamis Mlanjele Malongo ambapo anadaiwa amemefanya kosa hilo mnamo
tarehe 18 mwezi huko kiwengwa mkoa wakaskazini Unguja.
Amesema uchunguzi wa tukio hilo unaendelea na utakapokamilika mtuhumiwa huyo atafikishwa mahakamani kujibu shtaka lake.
chanzo; zanzibar24.
Comments