Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa shirika la kutetea haki za
wanawake la KIVULINI Yasini Ally wakati wa uzinduzi wa siku 16 za
kupinga ukatili wa kijinsia.
Ametoa wito kwa jamii kuunganisha nguvu za pamoja ili kukomesha tatizo la mimba za utotoni.
Kauli mbiu ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ni funguka,pinga ukatili wa kijinsia,elimu salama kwa wote.
chanzo;zanzibar24.
Comments