Kijana huyo Khalid Shaban (14) alijinyonga akiwa chumbani kwake ambapo iliingia baada ya kupata taarifa hiyo ya msiba.
Katika tukio hilo lilitokea Novemba 28 mwaka huu, saa 7.00 mchana
katika eneo la kata ya Mabogini, Moshi lililovuta hisia za watu wengi
na kulazimika kufika kwente misiba hiyo miwili ya mama na mwanawe .
chanzo; zanzibar24
Comments