Makonda aendelea kuwatumbua watendaji wa umma.

makondaMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameendelea na ziara zake za kutatua kero za Wananchi ambapo anaendelea wilaya ya Kinondoni.

Akizungumza na Watumishi wa Umma wa Wilaya hiyo, Makonda alisema kuwa wapo wanaoshinda kwa waganga na wanaotumia hirizi ili kujikinga wasitumbuliwe.

Kwa upande wa Mkuu wa Wilaya hiyo DC Ally Hapi amesema kuwa atahakikisha anawashughulikia watendaji ambao bado hawawajibiki ipasavyo katika nafasi zao.

chanzo; zanzibar24.

Comments