Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana, Wanawake na Watoto ukimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) mara alipoingia katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo katika mkutano kuhusu Programu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020,[Picha na Ikulu.] 07/09/2016.
/Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana, Wanawake na Watoto kuhusu Programu ya utekelezaji wa Ilani
ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka
2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Unguja,[Picha na Ikulu.] 07/09/2016.
Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana, Wanawake na Watoto wakimsikiliza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara hiyo kuhusu mpango wa
utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika
kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika leo katika
ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 07/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa maelekezo kwa Uongozi wa Wizara ya Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana, Wanawake na Watoto,
(haupo pichani ) kuhusu utekelezaji wa Programu ya Ilani ya Uchaguzi
ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020,leo
wakati wa mkutano wa siku moja uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Unguja,[Picha na Ikulu.] 07/09/2016.
Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana, Wanawake na Watoto wakimsikiliza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara hiyo kuhusu mpango wa
utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika
kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika leo katika
ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 07/09/2016

07/09/2016.

chanzo;zanzinews.
Comments