Almadrasat iiaanatu twwaibina wapokea msaada.


Mwalimu mkuu wa Almadrasat iianatu twaaibina iliopo bule wila ya Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba akipokea misaada ya misaafu na vitabu katika madrasa yake.

mwalimu mkuu Mohd Nassor Suleima na mfadhili wake akitoa shukrani kwa msaada walio patiwa akisema utasaidia kutoa mskumo ndani ya madrasa hiyo.

Comments